WAKATI WA "AJABU" NA WA "KUTISHA" ZAIDI WA MWAKA

Na: Jamise Kafoure; Mshauri Nasaha Mwisho wa kila mwaka bila shaka huashiria "mabadiliko" muhimu katika mazungumzo wakati wa kutoa ushauri nasaha kwa wateja. Mara nyingi mimi husikia hofu, hali ya kutoelewana, unyogovu, wasiwasi, woga, na hasira ikionyeshwa ndani ya mazungumzo yetu, kama hisia hizi moja kwa moja...